*NHIF na MOI wakutana kujadili maboresho ya huduma
Uongozi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekutana na kufanya mazungumzo na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI), mazungumzo yaliyofanyika jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yaliongozwa na Mkurugenzi wa Tiba na Huduma za Kitaalam Dkt. David Mwenesano kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Dkt. Ir...