ALIYOSEMA MKURUGENZI MKUU WA NHIF (NHIF) DKT IRENE ISAKA WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
# Tumefanikiwa kuimarisha mifumo ya TEHAMA katika shughuli za Mfuko ili kuimarisha utendaji na tija.
# Mwananchi anaweza kujisajili ili kujiunga na Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya kwa kutumia mfumo wa TEHAMA.
# Mwanachama anaweza kupata huduma za afya kupitia namba yake ya NIDA si lazima awe na nakala ngumu ya kitamb...