NHIF YAWEKA KAMBI KWA RC MAKONDA KUSAJILI WATOTO NA TOTO AFYA KADI

Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiendelea na zoezi la usajili wa watoto kwenye bima ya afya ambao wanalipiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda. Mpango wa TOTO AFYA KADI unamnufaisha mtoto chini ya umri wa miaka 18.