Maktaba ya Picha • 1

  Mkuu wa Mkoa wa Geita Injinia Robert Gabriel (katikati) akiwa na Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

  Imewekwa : January, 30, 2018

 • 2

  Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bi. Anjela Mziray akionesha vifaa vya msaada vilivyotolewa na Mfuko huo katika Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Injinia Robert Gabriel.

  Imewekwa : January, 30, 2018

 • 2

  Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bi. Anjela Mziray akimkabidhi msaada wa vitanda 20, magodoro 20 na mashuka 80 Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Bw. Festo Kiswaga.

  Imewekwa : January, 30, 2018

 • 7

  NHIF and Service Providers' Meeting

  Imewekwa : December, 08, 2017