Maktaba ya Picha • 4

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari wakati wa utoaji wa kadi za bima ya Afya (Toto Afya Kadi) kwa watoto wanaoishi kwenye mazingiria magumu katika vituo vya kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam.

  Imewekwa : June, 13, 2018

 • 2

  Meneja wa NHIF Mkoa wa Ruvuma Abdiel Mkaro akikabidhi mifuko 189 ya saruji iliyotolewa na Mfuko kama sehemu ya uboreshaji wa miundombinu ya Afya, Msaada huo utatumika katika ujenzi wa Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Namtumbo. Anayepokea ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo.

  Imewekwa : May, 09, 2018

 • 2

  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Akson ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa jitihada za kuwafikia wananchi na kuwahamasisha kujiunga na huduma za Mfuko katika maeneo mbalimbali. Aliyasema hayo katika tukio la Mbeya Tulia Marathon 2018

  Imewekwa : May, 07, 2018

 • 11

  WORKERS DAY

  Imewekwa : May, 07, 2018

 • 4

  Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF), wakiendelea na zoezi la usajili wa watoto kwenye bima ya afya ambao wanalipiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.  Mpango wa TOTO AFYA KADI unamnufaisha mtoto chini ya umri wa miaka 18.

  Imewekwa : April, 14, 2018