Maktaba ya Picha  • 4

    Sherehe za kukabidhi tuzo za Shirikisho la Kimataifa la Taasisi za Hifadhi ya Jamii (ISSA) zilizofanyika tarehe 24 Octoba 2017 mjini Addis Ababa, Ethiopia. Katika sherehe hizo Mfuko wa Taifa Bima ya Afya ulitunukiwa tuzo tatu.

    Imewekwa : December, 04, 2017