Maktaba ya Picha • 5

  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, leo umethibitishwa na kukabidhiwa cheti cha Viwango vya Kimataifa vya Ubora wa Huduma (ISO 9001:2015) baada ya kukidhi vigezo.

  Imewekwa : August, 20, 2018

 • 4

  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekuwa mshindi wa kwanza katika Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Simiyu. Huduma ambazo zilitolewa ni pamoja na upimaji wa afya bure na usajili wa wanachama kupitia mpango wa Ushirika Afya na Toto Afya Kadi

  Imewekwa : August, 09, 2018

 • 6

  NANE NANE SIMIYU

  Imewekwa : August, 07, 2018

 • 5

  Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wakiendelea kupata huduma za upimaji afya bure na kujisjili kama wanachama katika Banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya#Nane Nane Simiyu

  Imewekwa : August, 07, 2018

 • 4

  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amezindua rasmi mpango wa Ushirika Afya ambao utatoa huduma za matibabu kwa wakulima walioko kwenye vyama vya Ushirika kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mpango huu unaanza rasmi kwa wakulima wote nchini.

  Imewekwa : July, 16, 2018