Maktaba ya Picha • 3

  Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 245 Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Muheza ambayo ilitolewa na mfuko huu kuunga mkono juhudi hizo kushoto ni Mhasibu wa NHIF...

  Imewekwa : July, 09, 2018

 • 4

  Menejimenti ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na Hospitali ya Rufaa jijini Dodoma zimekubaliana kwa pamoja kuimarisha mahusiano kwa lengo la kuimarisha huduma bora kwa wanachama wake.

  Imewekwa : June, 22, 2018

 • 4

  Uongozi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bernard Konga umekutana na uongozi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kujadili namna ya kuboresha huduma kwa wanachama wakati wanapofika kupata huduma za matibabu hosptalini hapo

  Imewekwa : June, 22, 2018

 • 4

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari wakati wa utoaji wa kadi za bima ya Afya (Toto Afya Kadi) kwa watoto wanaoishi kwenye mazingiria magumu katika vituo vya kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam.

  Imewekwa : June, 13, 2018

 • 2

  Meneja wa NHIF Mkoa wa Ruvuma Abdiel Mkaro akikabidhi mifuko 189 ya saruji iliyotolewa na Mfuko kama sehemu ya uboreshaji wa miundombinu ya Afya, Msaada huo utatumika katika ujenzi wa Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Namtumbo. Anayepokea ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo.

  Imewekwa : May, 09, 2018