Maktaba ya Picha • 4

  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekuwa mshindi wa kwanza katika Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Simiyu. Huduma ambazo zilitolewa ni pamoja na upimaji wa afya bure na usajili wa wanachama kupitia mpango wa Ushirika Afya na Toto Afya Kadi

  Imewekwa : August, 09, 2018

 • 6

  NANE NANE SIMIYU

  Imewekwa : August, 07, 2018

 • 5

  Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wakiendelea kupata huduma za upimaji afya bure na kujisjili kama wanachama katika Banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya#Nane Nane Simiyu

  Imewekwa : August, 07, 2018

 • 4

  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amezindua rasmi mpango wa Ushirika Afya ambao utatoa huduma za matibabu kwa wakulima walioko kwenye vyama vya Ushirika kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mpango huu unaanza rasmi kwa wakulima wote nchini.

  Imewekwa : July, 16, 2018

 • 3

  Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 245 Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Muheza ambayo ilitolewa na mfuko huu kuunga mkono juhudi hizo kushoto ni Mhasibu wa NHIF...

  Imewekwa : July, 09, 2018