Maktaba ya Picha • 4

  Uongozi wa NHIF umetembelea wadau wake katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kwa lengo la kuangalia huduma wanazopata wanachama wake.

  Imewekwa : October, 03, 2018

 • 2

  NHIF yakabidhiwa tuzo ya ushindi wa kwanza katika Utoaji wa Huduma za Afya kwenye Maonyesho ya Teknolojia ya Uchimbaji Madini mkoani Geita. Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akimkabidhi tuzo Meneja wa NHIF Geita Dr. Mathias Sweya.

  Imewekwa : October, 03, 2018

 • 5

  Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakisimama kuomboleza msiba mkubwa uliolikumba Taifa letu uliosababishwa na kuzama kwa Kivuko cha Mv Nyerere

  Imewekwa : September, 22, 2018

 • 4

  NHIF Mbeya wahamasisha na kuwasajili kwenye USHIRIKA AFYA wanachama wa Vyama vya Msingi vya Tumbaku (AMCOS) wilayani Chunya.

  Imewekwa : September, 18, 2018

 • 3

  NHIF yaenda kijiji kwa kijiji kuhamasisha na kusajili wananchi na bima ya afya. Pichani wananchi wa Kilindi Tanga wahamasika kusajili watoto na TOTO AFYA KADI. NHIF kwa uhakika wa matibabu yako.

  Imewekwa : September, 10, 2018