Maktaba ya Picha • 4

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya agawa TOTO AFYA KADI kwa watoto 100 wanaoishi kwenye mazingira magumu mkoani hapo zilizodhaminiwa na Stanbic Bank.

  Imewekwa : December, 30, 2018

 • 4

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu leo amekabidhi kadi za bima ya afya (TOTO AFYA KADI ) kwa watoto 900 yatima na walio kwenye mazingira magumu wa mikoa ya DSM, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya. Kadi hizo zimefadhiliwa na Benki ya Stanbic.

  Imewekwa : December, 20, 2018

 • 8

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akielezea umuhimu wa kujiunga na Ushirika Afya kwa viongozi wa Vyama vya Ushirika wilayani Nachingwea

  Imewekwa : December, 20, 2018

 • 4

  Wanachama wa NHIF na wananchi wa Manyara waanza kupata huduma za Madaktari Bingwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara baada ya program hiyo kuzinduliwa rasmi na Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Elizabeth Kitundu. Huduma hii itaendelea kwa wiki nzima hadi 16 Desemba 2018.

  Imewekwa : December, 10, 2018

 • 4

  Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tanga wafanya ziara ya mafunzo ya vitendo ya utunzaji wa nyaraka kwenye ofisi ya Makao Makuu ya NHIF DSM.

  Imewekwa : December, 01, 2018