Maktaba ya Picha • 7

  Huduma za Madaktari Bingwa kupitia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya zimeanza rasmi leo katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi baada ya kuzinduliwa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Amos Makala. Huduma hizi zitaendelea hadi 24 Novemba 2018

  Imewekwa : November, 19, 2018

 • 7

  Mechi ya kirafiki kati ya NHIF na Muhimbili (MNH). Timu za mpira wa miguu na pete zilishiriki katika mechi hizo katika viwanja vya Muhimbili siku ya Ijumaa ya tarehe 26/10/2018.

  Imewekwa : October, 27, 2018

 • 4

  NHIF Rukwa yaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike katika uwanja wa Mandela kwa kuelimisha watoto umuhimu wa bima ya afya. NHIF tunajali afya yako.

  Imewekwa : October, 12, 2018

 • 3

  Mkurugenzi Mkuu wa NHIF akutana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Byakanwa na kujadili maendeleo ya Mfuko huo na baadae kutembelea Hospitali ya Mkoa ya Mtwara Ligula kuona huduma wanazopata wanachama wa Mfuko

  Imewekwa : October, 12, 2018

 • 3

  Mkurugenzi Mkuu wa NHIF atembelea Hospitali ya Rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kuona huduma wanazopata wanachama na kujadili na uongozi wa mkoa na hospitali jinsi ya kutatua changamoto walizozibaini.

  Imewekwa : October, 12, 2018