Maktaba ya Picha • 2

  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu) Mhe. Antony Mavunde akipata maelezo katika banda la NHIF alipotembelea Maonyesho ya Wiki ya Vijana katika Viwanja vya Tangamano Tanga.

  Imewekwa : October, 09, 2018

 • 9

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. Albert Chalamila akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani humo.

  Imewekwa : October, 04, 2018

 • 4

  Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF leo imekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na kujadili mambo mbalimbali ya kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wa NHIF na wananchi kwa ujumla.

  Imewekwa : October, 03, 2018

 • 4

  Uongozi wa NHIF umetembelea wadau wake katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kwa lengo la kuangalia huduma wanazopata wanachama wake.

  Imewekwa : October, 03, 2018

 • 2

  NHIF yakabidhiwa tuzo ya ushindi wa kwanza katika Utoaji wa Huduma za Afya kwenye Maonyesho ya Teknolojia ya Uchimbaji Madini mkoani Geita. Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akimkabidhi tuzo Meneja wa NHIF Geita Dr. Mathias Sweya.

  Imewekwa : October, 03, 2018