Maktaba ya Picha • 3

  Mkurugenzi Mkuu wa NHIF atembelea Hospitali ya Rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kuona huduma wanazopata wanachama na kujadili na uongozi wa mkoa na hospitali jinsi ya kutatua changamoto walizozibaini.

  Imewekwa : October, 12, 2018

 • 4

  Mkurugenzi Mkuu wa NHIF aendelea na ziara kwenye vituo vya matibabu na amezuru Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma na Hospitali ya Peramiho kuona huduma wanazopata wanachama wa NHIF na kujadili changamoto zinazobainika na uongozi wa vituo.

  Imewekwa : October, 10, 2018

 • 2

  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu) Mhe. Antony Mavunde akipata maelezo katika banda la NHIF alipotembelea Maonyesho ya Wiki ya Vijana katika Viwanja vya Tangamano Tanga.

  Imewekwa : October, 09, 2018

 • 9

  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. Albert Chalamila akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani humo.

  Imewekwa : October, 04, 2018

 • 4

  Bodi ya Wakurugenzi ya NHIF leo imekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na kujadili mambo mbalimbali ya kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wa NHIF na wananchi kwa ujumla.

  Imewekwa : October, 03, 2018