Wavuvi

Kaimu Mkurugenzi Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando amesema lengo la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ni kuwafikia na kuwahudumia asilimia 50 ya Watanzania wote ifikapo mwaka 2020. Mhando ameyasema hayo alipokuwa akikabidhi kadi za mfuko huo kwa wafanyabiashara na wavuvi wa feri ya magogoni.