Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Bodi mpya ya NHIF.

 

Mwenyekiti wa Bodi Mpya ya NHIF, Mhe. Anne Makinda akipokea vitendea kazi vya bodi yake kutoka kwa Waziri.

Mhe. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akitoa maelekezo kwa Bodi ya NHIF.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bernard Konga akitoa maelezo ya awali ya Mfuko kabla ya kufanyika kwa uzinduzi wa Bodi mpya.

Wajumbe walioko katika Bosi hiyo ni pamoja na Dkt. Doroth Gwajima, Ndugu Lyidia Choma, Ndugu Yahaya Msulwa, Dkt. Kaushik Ramaiya, Ndugu Jaffer Machano, Ndugu Tryphon Rutazamba na Dkt. Bughayo Saqware.