Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bernard Konga akitoa maelezo ya huduma zilizotolewa na Mfuko katika maonesho ya Nane Nane mkoani Lindi kwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu wakati alipotembelea banda hilo. Kati kati ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda.

 

Meneja wa Mkoa wa Lindi Fortunata Raymond akitoa maelezo ya huduma kwa Mwenyekiti wa
Bodi ya NHIF, Mama Anne Makinda alipotembelea kuona huduma zinazotolewa

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene akizungumza na Meneja wa NHIF Lindi baada ya kuona huduma zinazotolewa na Mfuko huo.

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Dr, Charles Tizeba akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Bernard Konga katika banda la Mfuko.