nhif new 4

Baadhi ya watoto wenye ulemavu wa ngozi na wengine wanaolelewa katika Kituo cha Buhangija Manispaa ya Shinyanga, wakishiriki kupokea  magodoro 180 kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kusaidia uhitaji uliopo katika kituo hicho.