nhif pinda in mtwara

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na umati wa watu waliokisanyika katika banda la NHIF juu ya umuhimu wa watu kupima afya zao mara kwa mara na kuzingatia kanuni bora za maisha ili kuepuka magonjwa yasiyoambikiza ambayo mengi husababishwa na unene uliokithiri.