Zoezi la Upimaji Afya bure na Elimu kwa Umma mkoani Tanga, katika Maonesho ya Sita ya Kibiashara na Utalii. Afisa Matekelezo wa NHIF Mkoani Tanga Macrina Clemens kulia akisisitiza jambo kwa wananchi waliofika kwenye banda hilo kupata Elimu ya Mpango wa kujiunga na Bima ya Afya.