Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Angela Mziray akizungumza na waandishi wa habari na akiwashukuru Hospitali ya Regency na TMJ kuweza kulipia kadi za Bima ya Afya kwa watoto 220 wanaoishi kwenye mazingiria magumu jijini Dar es salaam