Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliotembelea banda la Mfuko huo katika maonyesho ya 42 ya Sabasaba. NHIF ipo katika Banda la Katavi mtaa wa kwanza kushoto kutoka geti kuu