Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeibuka mshindi wa utoaji wa huduma bora katika maonyesho ya Sabasaba. NHIF inatoa huduma ya kusajili watoto chini ya umri wa miaka 18 kupitia mpango wa TOTO AFYA KADI