Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kuanzisha fao la Ushirika Afya ambalo litasaidia wakulima kuwa na uhakika wa kupata matibabu wakati wote.