Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekuwa mshindi wa kwanza katika Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa mkoani Simiyu. Huduma ambazo zilitolewa ni pamoja na upimaji wa afya bure na usajili wa wanachama kupitia mpango wa Ushirika Afya na Toto Afya Kadi