Sehemu ya Wajumbe wa Bodi ya NHIF wakifuatilia taarifa ya utekelezaji katika mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Mbeya