Mkurugenzi Mkuu wa NHIF aendelea na ziara kwenye vituo vya matibabu na amezuru Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma na Hospitali ya Peramiho kuona huduma wanazopata wanachama wa NHIF na kujadili changamoto zinazobainika na uongozi wa vituo.