NHIF inashiriki maonyesho ya Jumuisho la VICOBA Tanzania(SEDIT) katika viwanja vya Nyerere Square Dodoma hadi Jumamosi Novemba 10 kwa kufanya upimaji wa Afya bure na elimu ya Bima ya Afya kwa wananchi.