Watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kutoka idara ya Masoko na Huduma kwa wateja wakiwa katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutoa huduma bora za Mfuko na kuwafikia wananchi wote. Mafunzo haya yanaendeshwa na wakufunzi kutoka chuo kikuu Mzumbe.