Wanamichaezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) walioshirika katika bonanza la michezo lilioandaliwa na Tanzania Insurance Broker Association (TIBA) Jumamosi tar 16/3/2019 na kupata ushindi wa kwanza katika mpira wa pete na kuvuta kamba. Timu ya NHIF pia ilipata ushindi wa pili katika mpira wa miguu. Tunapongeza wanamichezo walioshirika katika michezo hii.