Wananchi Mkoani Songwe wakiendelea kupata huduma za upimaji wa Afya bure na kupata elimu ya Bima ya Afya wakati wa uzinduzi wa mbio za Mwenge katika viwanja vya Kimondo, Mlowo.