Wananchi 917 wa Mafia wanufaika na huduma ya madaktari bingwa iliyoratibiwa na NHIF kwa wiki nzima wilayani humo. Mbali na hao madaktari hao kutoka Muhimbili wamefanya upasuaji mbalimbali kwa wagonjwa 22 wilayani humo.