Meneja wa NHIF Kinondoni Bw. Innocent Mauki amekabidhi kadi za bima ya afya (TOTO AFYA KADI) kwa watoto 84 wa Faraja Education Center, Kata ya Tandale ambao wamefadhiliwa na Taasisi ya United Plannet Tanzania.