Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Mama Anne S. Makinda na Mkurugenzi wa Mfuko Bw. Bernard Konga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa NHIF na wadau wake katika Mkoa huo, Mkutano ulifanyika mjini Arusha siku ya Alhamisi tar 23/5/2019