Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekutana na Wahariri wa vyombo vya habari kujadili pamoja mambo mbalimbali ikiwemo kutoa maoni juu ya uboreshaji wa huduma zake.