Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umepokea gawio la Shilingi Milioni 243.5 kwa kuwekeza CRDB Bank. Hundi hiyo imekabidhiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mpango kwa Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa NHIF Bw. Celestine Muganga.