Menejmenti ya NHIF ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Bw. Bernard Konga imekutana na Uongozi wa APHFTA na CSSC ili kupata maoni yao kuhusu huduma za NHIF. NHIF inaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuimarisha huduma zake.