Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga akisikiliza maoni ya wadau na kuwahudumia wananchi waliofika katika banda la NHIF kwenye Maonyesho ya Saba Saba. NHIF tunaendelea kusIkiliza wadau ili kuimarisha zaidi huduma zetu