NHIF yafanya Mkutano wa tatu wa Baraza la Pili la Wafanyakazi wa NHIF Jijini Dodoma kujadili na kupitisha mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Mfuko huo.