"Wakulima kupitia Vyama vyenu vya Ushirika wa Mazao tumieni fursa ya kujiunga na NHIF kupitia Ushirika Afya ili kuwa na uhakika wa huduma za matibabu" ...Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe