MKUTANO WA COTWU(T)


Mahali: @ DODOMA
Ada ya Tukio: @ N/A
Tarehe: 2021-09-16 - 2021-09-16
Muda: N/A - N/A

NHIF yawahimiza Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi (COTWU(T)) kushiriki katika kudhibiti vitendo vya udanganyifu kwa Mfuko huo. Amesema Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga leo wakati wa mkutano wa Chama hicho Jijini Dodoma.

MKUTANO WA COTWU(T)