MKUTANO WA NHIF NA TUCTA


Mahali: @ DODOMA
Ada ya Tukio: @ N/A
Tarehe: 2021-09-13 - 2021-09-13
Muda: N/A - N/A

HIRIKISHO la Vyama Vya Wafanyakazi (TUCTA) limeupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu ya kuongeza umri wa watoto wategemezi wa wanachama wa Mfuko huo kutoka miaka 18 hadi miaka 21.

MKUTANO WA NHIF NA TUCTA