Mahali: @ GEPF Tower Victoria
Ada ya Tukio: @ Free Entrance
Tarehe: 2017-12-07 - 2017-12-07
Muda: 2:30 Asubuhi - 8:30 Mchana
Kutakuwa na Mkutano wa watoa huduma wote wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake utakao kuwa na lengo la kujadiliana jinsi ya kuboresha uhusiano katika kuhudumia wadau.
