Usajili wa Wanavyuo


Mahali: @ All Accredited Universities Tanzania
Ada ya Tukio: @ N/A
Tarehe: 2017-11-15 - 2017-12-15
Muda: Date of Registration - Continous

Zoezi la usajili wa wanavyuo linaendelea katika vyuo vyote Tanzania likiwezeshwa na ofisi zetu za mikoa. Tafadhali wasiliana na uongozi wa chuo chako kwa taarifa zaidi.

Kwa maelezo zaidi tupigie huduma kwa wateja namba 0800110063

Kupata fomu ya usajili bonyeza hapa

Usajili wa Wanavyuo