UZINDUZI WA USHIRIKA AFYA -KAHAMA


Mahali: @ Kata ya Olowa, Wilaya ya Kahama
Ada ya Tukio: @ -
Tarehe: 2018-07-16 - 2018-07-16
Muda: - - -


Mfuko unatarajia kuzindua mpango wa USHIRIKA AFYA ambao unahusisha wakulima walio kwenye Vyama vya Ushirika vya mazao ya kimkakati ambayo ni Tumbaku, Chai, Kahawa, Pamba na Korosho. Uzinduzi huu utafanywa na Mhe. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Kassim siku ya Jumatatu tarehe 16/07/2018 Kata ya Olowa, Wilaya ya Kahama. Katika tukio hilo, Mfuko utawakilishwa kwa kuongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mkuu.

UZINDUZI WA USHIRIKA AFYA -KAHAMA