Maktaba ya Picha
-
9
Mhe. Anne Makinda akizindua mpango wa Vifurushi vipya vya Bima ya Afya Mkoani Dar es Salaam Novemba 28, 2019.
Imewekwa : March, 26, 2020
-
8
Vifurushi vya Najali Afya, Wekeza Afya na Timiza Afya
Imewekwa : December, 21, 2019
-
4
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imesaini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa Tumaini la Mama kwa awamu ya tatu itakayoishia 2020 na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW). Mradi huo wenye thamani ya EURO Mil 13 sawa na TZS. Bil 32.7 una kusudi la k...
Imewekwa : September, 09, 2019
-
4
Wananchi wameendelea kumiminika kwenye banda la NHIF kwenye maonesho ya Wakulima Nane Nane Mkoani Simiyu kupata huduma zinazotolewa za elimu, usajili na upimaji wa afya.
Imewekwa : August, 07, 2019
-
4
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga atembelea maonesho ya Nanenane viwanja vya Nzuguni Dodoma na kupongeza mwitikio wa wananchi kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kijisajili na bima ya afya.
Imewekwa : August, 07, 2019