Maktaba ya Picha
-
2
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Akson ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa jitihada za kuwafikia wananchi na kuwahamasisha kujiunga na huduma za Mfuko katika maeneo mbalimbali. Aliyasema hayo katika tukio la Mbeya Tulia Marathon 2018
Imewekwa : May, 07, 2018
-
11
SIMU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Imewekwa : May, 07, 2018
-
4
Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiendelea na zoezi la usajili wa watoto kwenye bima ya afya ambao wanalipiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda. Mpango wa TOTO AFYA KADI unamnufaisha mtoto chini ya umri wa miaka 18.
Imewekwa : April, 14, 2018
-
2
NHIF yasheherekea Pasaka kwa kuwahudumia Wanageita
Imewekwa : April, 04, 2018
-
4
Geita. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeendelea na mkakati wake wa kuwafikia wananchi katika maeneo yao kwa kuwapelekea huduma zake lakini pia upimaji wa afya bure kwa lengo la kupambana na magonjwa yasiyoambukiza.
Imewekwa : March, 30, 2018