Maktaba ya Picha



  • 4

    Wananchi wameendelea kumiminika kwenye banda la NHIF kwenye maonesho ya Wakulima Nane Nane Mkoani Simiyu kupata huduma zinazotolewa za elimu, usajili na upimaji wa afya.

    Imewekwa : August, 07, 2019

  • 4

    Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bw. Bernard Konga atembelea maonesho ya Nanenane viwanja vya Nzuguni Dodoma na kupongeza mwitikio wa wananchi kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kijisajili na bima ya afya.

    Imewekwa : August, 07, 2019

  • 4

    NHIF Rukwa yaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike katika uwanja wa Mandela kwa kuelimisha watoto umuhimu wa bima ya afya. NHIF tunajali afya yako.

    Imewekwa : October, 12, 2018

  • 4

    NHIF Mbeya wahamasisha na kuwasajili kwenye USHIRIKA AFYA wanachama wa Vyama vya Msingi vya Tumbaku (AMCOS) wilayani Chunya.

    Imewekwa : September, 18, 2018

  • 3

    NHIF yaenda kijiji kwa kijiji kuhamasisha na kusajili wananchi na bima ya afya. Pichani wananchi wa Kilindi Tanga wahamasika kusajili watoto na TOTO AFYA KADI. NHIF kwa uhakika wa matibabu yako.

    Imewekwa : September, 10, 2018