Maktaba ya Picha



  • 4

    NHIF Rukwa yaadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike katika uwanja wa Mandela kwa kuelimisha watoto umuhimu wa bima ya afya. NHIF tunajali afya yako.

    Imewekwa : October, 12, 2018

  • 4

    NHIF Mbeya wahamasisha na kuwasajili kwenye USHIRIKA AFYA wanachama wa Vyama vya Msingi vya Tumbaku (AMCOS) wilayani Chunya.

    Imewekwa : September, 18, 2018

  • 3

    NHIF yaenda kijiji kwa kijiji kuhamasisha na kusajili wananchi na bima ya afya. Pichani wananchi wa Kilindi Tanga wahamasika kusajili watoto na TOTO AFYA KADI. NHIF kwa uhakika wa matibabu yako.

    Imewekwa : September, 10, 2018

  • 5

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, leo umethibitishwa na kukabidhiwa cheti cha Viwango vya Kimataifa vya Ubora wa Huduma (ISO 9001:2015) baada ya kukidhi vigezo.

    Imewekwa : August, 20, 2018

  • 6

    NANE NANE SIMIYU

    Imewekwa : August, 07, 2018