Nawezaje kubadilisha mtegemezi?
JIBU: Andika barua ya mambi yenye maelezo ya sababu ya kubalisha mtegemezi, Jaza fomu pamoja na picha ambatanishwa uthibitisho wa kisheria wa uhusiano wake na mtegemezi unayemuweka, Lipia 20,000 shilingi, Rudisha kitambulisho cha mtegemezi unayemtoa.( isipokua mke lazima uweke uthibitisho wa talaka).
Habari Mpya
Matukio Mpya
-
17 Oct
-
19 Jul
-
02 May